Dante bado anaigomea Yanga.
Yondani na Abdul wamelipwa na baadhi ya wanachama wa klabu ya Yanga na sio klabu tutawalipa wote ambao wanatudai.
Yondani na Abdul wamelipwa na baadhi ya wanachama wa klabu ya Yanga na sio klabu tutawalipa wote ambao wanatudai.
Tanzania, Taifa Stars, itaanza kampeni yake ya kutafuta Tiketi ya kombe la dunia 2022 dhidi ya Burundi, pitia kuwafahamu wachezaji hatari
Karibu tena katika sehemu ya pili ya muendelezo wa makala ya kiuchambuzi juu ya matumizi sahihi ya mabeki Gadiel Michael na Mohamedi Husseni katika klabu ya Simba hata timu ya taifa.
Kwa upande wa kimataifa, ZESCO imeshiriki klabu bingwa mara tano, huku mwaka 2016 wakiishia hatua ya nusu fainali, kabla ya mwaka 2018 kuishia hatua ya Makundi.
Baada ya kutua tu mitaa ya Msimbazi alikutana na wachezaji wenye majina makubwa kama Issa Rashid Baba Ubaya ambaye pia kipindi hicho alikuwa ni beki tegemeo wa U20, Huku Zimbwe akiwa tegemea U17, pia msimu huo huo Simba ilimsajili na Abdi Banda, yaani KAzi Kazi tu.
Kama Simba wasingekuwa na miluzi mingi kwake inawezekana ndio angekuwa muarobaini wao katika ulinzi hivi sasa. Tena wangempata kiunafuu.
“Wanasema ukishindwa kujipanga basi umejipanga kushindwa, sisi tumejipanga kushinda kabisa msimu huu.
Hapo kabla aliponda kambi ya Yanga iliyowekwa Arusha na Moshi, sasa kwa mikono miwili anaenda Mwanza
Simba imefunga mabao 139 katika ya 1,140 yote yaliyofungwa na timu za Ligi kuu msimu 2017/18 na 2018/19.
Baada ya kutolewa katika mashindano hayo ya kimataifa kwa sasa Simba imejipanga kuhakikisha inatetea taji lake la ligi kuu Tanzania bara, huku ikianza vizuri kwa ushindi wa goli 3-1 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa kwanza wa ligi.