Kufungwa kwa Mtibwa hakukuhitaji darubini
Unaweza kuwashauri nini zaidi Mtibwa Sugar ili warudi katika nafasi ya ushindani zaidi?
Unaweza kuwashauri nini zaidi Mtibwa Sugar ili warudi katika nafasi ya ushindani zaidi?
Mirambo amesema kuna orodha ndefu ya makocha ambao wanaitaka kazi hiyo, na Ettiene ni mojawapo wa watu wanaoangaliwa na Shirikisho ili kupata nafasi hiyo.
Kutakuwa na makundi 10, kundi letu litakuwa na timu nne, tutacheza mechi 6, tatu ugenini na tatu nyumbani. Mechi hizi zinahitaji mbinu za uwanjani na hata nje ya uwanja. Waokota mipira ni sehemu ya mashambulizi na ulinzi wa Stars.
Katika ziara ya mechi za kirafiki zilizochezwa Mwanza , Molinga “Falcao” amefanikiwa kufunga magoli 3 katika mechi mbili alizocheza, goli lake la kwanza alilifunga dhidi ya Pamba fc na jana amefanikiwa kufunga magoli mawili dhidi ya Toto Afrika katika mchezo ambao Yanga wamefunga goli 3-
Mpwa kwa jicho lake la ufundi naweza sema tatizo la matumizi ya mguu wa kushoto ni janga kubwa sana ndani ya kikosi cha Taifa stars
Kwa maoni yako nani Tanzania one sasa? Manula au Kaseja? Ingia upoge kura yako hapa
Adi amecheza mechi moja tu akiingia kutokea benchi tangu alipoitwa kwa mara ya kwanza na aliyekuwa kocha wa Taifa Stars, Amunike.
Kila mtu sasa mpenzi wa kandanda nchini anaimba, Kaseja! Kaseja! Kaseja!. Ni baada ya kufanya kile ambacho hufanya muda wote.
Sasa Kandanda itasheherekea vizuri na mfungaji magoli wa kila mwezi kwa kupata pia kiatu kizuri na msosi bab’kubwa kutoka Mgahawa Cafe & Restaurant.
Kisaikolojia Burundi wameishashindwa kwao, wanapofika ugenini watakuwa wakiishi kwa kwa mashaka kama mwananchi aliyepeleka chakula cha mfungwa gerezani huku kikiwa kwenye mfuko wa plastiki (Rambo).