Kati ya Aussems/Zahera mmoja hatutakuwa naye msimu ujao.
Kufika nusu fainali, na kuchuana na vilabu vikubwa kama TP Mazembe, Al ahly na Wydad Casablanca ndiyo yalikuwa malengo ya klabu. Klabu ilitenga bajeti kubwa ili kuhakikisha Simba inachukua
Kufika nusu fainali, na kuchuana na vilabu vikubwa kama TP Mazembe, Al ahly na Wydad Casablanca ndiyo yalikuwa malengo ya klabu. Klabu ilitenga bajeti kubwa ili kuhakikisha Simba inachukua
Kwa mara ya kwanza nilimuona Ibrahim kwenye uwanja wa Uhuru, zamani ukiitwa Taifa katika fainali ya Copa CocaCola kati ya Mjini Magharibi na Tabora.
Klabu kubwa za Simba na Yanga hupoteza fedha nyingi kutokana na kukosa miundombinu ya msingi wanayoimiliki wenyewe katika soka.
Pumzika kwa Amani Ibrahim Jeba, kiungo fundi usiye na tabasamu lakini ulihifadhi kitu kikubwa miguuni.
Genk imetupwa katika kundi E ambalo lina vigogo kama Liverpool, Napoli na RB Salzburg. Kundi hili lilicheza michezo yake siku ya Jana Jumanne, Napoli wakiibuka na Ushindi wa goli 2-0 dhidi ya Liverpool nyumbani, kisha RB Salzburg ikaichapa Genk.
Azam wanatarajiwa kuwavaa Triangle Septemba 28. Katika mchezo huu Azam inatafuta ushindi wa aina yoyote ile, kwa maana kama watapata ushindi mwembamba wa goli 1-0
Eneo ambalo halimuoneshi rangi yake halisi kabisa ambayo wengi wanaijua. Rangi ya kutengeneza nafasi nyingi za magoli, rangi ya kufunga magoli mengi.
“nina furaha kwa sababu naweza kucheza na hata kupata ushindi.. ukitoka majeruhi ni vigumu sana kuwa na kasi yako iliyoizoeleka lakini kikubwa kwangu ni ushindi
Kocha wa Liverpool amegoma kuvaa suti katika mechi za Liverpool, akijitetea kwa sababu lukuki.
Matokeo ya leo hayana tofauti na matokeo ya mchezo wa hatua ya awali kati ya Yanga dhidi ya Township Rollers mchezo uliopigwa uwanja wa Taifa ukiisha kwa sare ya bao 1-1