Mfaume Mfaume na Idd Pialari ni mpaka mtu afe
Achana na “Derby” ya kwenye kandanda kati ya….Stori zaidi.
Achana na “Derby” ya kwenye kandanda kati ya….Stori zaidi.
Matukio Yote Yatafanyika Jumamosi ya January 7 Mwaka huu. “Pamba Media Day” imelenga kumthamini Mwandishi wa Habari za Michezo.
Vipers Fc, klabu kutoka Uganda masaa mawili yaliyopita imetangaza kuachana na kocha wao mkuu, Robertinho Oliveira Gonçalves do Carmo (1960).
Taarifa zilizopo sasa ni kuwa Feisal Salum “Fei Toto” anaelekea kujiunga klabu ya Azam Fc yenye makazi yake pale chamazi.
Wewe ni mbunifu? Unajua kutumia WordPress? Nafasi ni hii ya kusimamia tovuti ya kandanda.
Katika ndondo zake za mtaani aliendelea kukusanya kijiji, kufunga na kupiga pasi za usahihi na kuwaaminisha watu kuwa umbo lake dogo
Walipofuzu kuingia makundi ya mashindano hayo, walinuna. Wao ni wakubwa wakajiona wameshuka chini. Wakashiriki hatua ya makundi na kuingia robo fainali bila shangwe
Kampuni ya Parimatch ndio kinara wa michezo ya kubashiri mtandaoni na imekuwa ikitoa ofa kubwa ya bonasi ya 100% mpaka TZs 1,000,000 kwa wateja wapya wanaojiunga nasi.
Akikabidhi zawadi hiyo, balozi wa 888 bet Maulid Kitenge, ameonesha kufurahishwa na ushindi wa Bi Shama ambaye anakua mwanamke wa kwanza kujishindia zawadi toka droo hiyo ya Dabodabo ianze.
PARIMATCH na kusema kwamba imekuwa ni desturi yao kusikiliza maoni ya
wateja wao kila mara na kuamua kuyafanyia uamuzi ili kusudi waweze kuwapatia
kitu kilichokuwa bora wateja wao ambao hutumia muda wao ziada kujiburudisha
akili zao na Parimatch.