Alhly alichapwa kwao na Pyramid
Kesho Yanga watawakaribisha Pyramid FC ya Misri kwenye michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika.
Kesho Yanga watawakaribisha Pyramid FC ya Misri kwenye michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika.
Wewe je mwanakandanda unaamini uwekezaji mkubwa katika mpira wa miguu sio chachu ya mafanikio? Soma hii kwanza…
Leo katika mitaa ya Gerezani , Kariakoo jijini Dar es Salaam kulikuwepo na tukio la kuwakabidhi wachezaji wa Simba zawadi
“Nilikuwa naona kwa sababu na mimi niko kwenye mitandao Nilijisikia kawaida tu wala haikunivunja moyo, Lakini Mimi nafahamu Sisi Watanzania
Unaweza kutana na shabiki wa mpira wa miguu akakusimulia vitu kuhusu mpira na ukashangaa kwanini yupo jukwaani, lakini kunbe kashakuwa mkongwe tayari.
Anaweza kuwa msemaji mwenye mbwembwe nyingi kuwahi kutokea katika sola la Tanzania
Taifa Stars itacheza mchezo wa marudiano dhidi ya Sudan nchini Sudan baada ya awali kuwepo taarifa ya mechi kuchezwa katika uwanja wa Nambole jijini Kampala nchini Uganda.
Mpaka sasa unajua kuwa Stars ya Ettiene imefunga magoli mawili tu katika dakika 90 katika mechi tano.
Uamuzi huo umetolewa na Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba ambapo amesema jukumu la kuthibitisha shitaka kwa washitakiwa ni la upande wa mashitaka
Jamii ya watu wa mpira inabidi iwe inaangalia masuala ya wachezaji katika pande zote, sio uwezo tu..afya ni muhimu.