Malinzi anasiku 30 tu kulipa bilioni 1.2

Shirikisho la Soka Ulimwenguni, FIFA, limempiga faini ya dola za kimarekani 503,169.50 (sawa na bilioni 1.2) Jamal Malinzi, Rais wa zamani TFF, baada ya kupatikana na hatia ya kutumia vibaya fedha kutoka shirikisho pamoja na ‘kufoji’ nyaraka.

Stori zaidi