Jinsi Corona ilivyogusa kandanda ulimwenguni
Ugonjwa huu hadi sasa umepelekea kusimamishwa kwa ligi zote na mashindano makubwa na madogo ulimwenguni yanayohusu soka.
Ugonjwa huu hadi sasa umepelekea kusimamishwa kwa ligi zote na mashindano makubwa na madogo ulimwenguni yanayohusu soka.
Kikosi cha CHAN Kimeitwa, huu ni moja ya mjadala baada ya kuitwa wachezaji hao. Tupe mtazamo wako pia.
Ikumbukwe katika mchezo wa kwanza uliisha kwa sare ya mabao mawili kwa mawili baada ta Yanga kufuta uongozi wa mabao mawili ya Simba ndani ya dakika 5.
Kuelekea mchezo huo tunakuletea wachezaji wanaotarajiwa kuanza na kukutana na upinzani wa hali ya juu siku ya mchezo huo. Miongoni mwa vita hizo ni hizi hapa:
Ni utaratibu wetu kusheherekea na wafungaji mabao mengi kila mwezi, mechi za mzunguko wa 26 na 27 zitaamua nani atakuwa galacha wa magoli mwezi huu wa nne.
Jerry Murro pia ameuelezea uwezo wa Mkwasa huku akiamini katika mbinu za mzawa huyo
Katika tukio hilo kulikuwa na na maskauti wa mataifa mbalimbali.
Aliyewahi kuwa kocha mkuu wa Yanga ,….Stori zaidi.
Mhamasishaji wa Yanga naye anajibizana hadharani na mashabiki wake , mashabiki ambao ni wateja .
Hizi ni mechi za leo na kesho za mzunguko wa pili mzunguko wa 21. Kandanda tumekuwekea utabiri wetu wa kila mechi hapo chini. Unaweza kutupa na wewe pia