Pata Bando la Intaneti kutoka Mtandao wetu
Shabiki wetu wa wiki anapata Bando la Kandanda kwenye mtandao wake wowote anaotumia. Ingia sasa uanze kuchangia maoni.
Shabiki wetu wa wiki anapata Bando la Kandanda kwenye mtandao wake wowote anaotumia. Ingia sasa uanze kuchangia maoni.
Sasa kwa maana hiyo Simba imepigwa wale hawana hiyo thamani ya hiyo pesa. Hiyo bilioni 20 inaweza kua labda asimia tano tu ya uwekezaji.
Hata yule Morrison akija Simba ni lazima aanze kwanza kugombania nafasi na wachezaji wengine.”
Yanga walistahili kupata ushindi katika mchezo ule huku pia akisema Yanga iliwasaidia sana kuingia kwenye mechi kama “underdog.
Mi nadhani ni vyema wangewaacha wachezaji wenyewe ndio waamue kuhusu kukatwa mishahara lakini isiwe kama shinikizo hivi.
Wanasoka magwiji duniani wananjia tofauti jinsi wanavyoingia katika soka, kwa upande wa Afrika huwa hatutaji sana Shule za Soka.
Kwa kesi hii ya ugonjwa wa corona ni vyema basi FA za Hispania na England wakafiri ni jinsi gani wataweza kuwasiliana na kujenga ujamaa na FA ya China.
Kila mtu sasa anatamani aangalie hata marudio tu ya mechi zilizopita, huku mashabiki wa Liverpool wakilia pia ubingwa wao.
“Ndio ulikua mwaka wangu wa kwanza Simba mchezo wa kwanza tulishinda moja bila hapa Tanzania halafu tukaenda Misri.
Kuanzisha timu si tu kuunda Group la WhatsApp au kukusanya vijana na kuandaa katiba ya timu na kwenda kusajili BMT pekee. Kuna vitu muhimu vingi.