Meneja: KMC waumini wa soka la vijana.
Tazama mfano mzuri ni yule Ally Msengi ambae kwasasa yupo nchini Africa Kusini anacheza soka la kulipwa lakini alipitia KMC hapa kabla ya kumruhusu kwenda huko.
Tazama mfano mzuri ni yule Ally Msengi ambae kwasasa yupo nchini Africa Kusini anacheza soka la kulipwa lakini alipitia KMC hapa kabla ya kumruhusu kwenda huko.
” Nakumbuka nilikua na timu ya mkoa wa Kinondoni (Mkoa wa kisoka), sasa pale kulikua na mchujo wa kwenda kuunda timu ya Kitaifa.
Lakini nashukuru Mungu kipaji cha mpira pia kimenifanya kufika hapa.
Wapenzi wa kubashiri taarifa hii iwafikie muda huu wakati Ligi zikianza kurudi, anza kunoa vidole vyako Parimatch hii hapa.
Ndidi ana umri wa miaka 23, na bado yuko fiti hivyo ni hazina kwa timu yake ya Taifa Nigeria “Super Eagles” na klabu yake pia ni mchezaji muhimu kikosini.
Chama cha soka nchini Uganda kimetoa msaada huo ili kupunguza makali katika kipindi hiki ambacho Ligi zimesimama.
Kuna jama yangu anamfananisha Balama na Mrisho Ngassa Anko enzi za ubora wake, Hapana kabisa nakataa.
anayeviweka benchi vipande vya watu kama Makame, Banka na viungo wengine kunako kikosi cha Yanga.
Unadhani ni rahisi kuwekeza Bilioni 20 kwa mkupuo kwenye biashara yenye thamani ya Bilioni 4? Hebu twende darasani sasa..
Hiki ni kikosi kilichotisha sana hata ukikiaangalia tu, tutajie majina yao katika picha hii na tuambie kitu gani kiliwafanya waonekane ‘nyau’ katika mechi za klabu Bingwa msimu huo