Miaka nane Jangwani ya Kelvin Yondani!
Baada ya Nadri Haroub Ali “Cannavaro” kuagwa kwa heshima miaka michache ilyopita pale Jangwani alivyostafu basi angefuata Kelvin Patrick Yondani “Cotton”, ila mambo hayakuwa hivyo.
Baada ya Nadri Haroub Ali “Cannavaro” kuagwa kwa heshima miaka michache ilyopita pale Jangwani alivyostafu basi angefuata Kelvin Patrick Yondani “Cotton”, ila mambo hayakuwa hivyo.
Jana Azam FC kupitia kwa mkuu wa kitengo….Stori zaidi.
Wateja watatakiwa kubashiri mechi 10 zitakazokuwa zimeorodheshwa kwenye tovuti yetu upande wa Jackpot na watafanikiwa kushinda kitita hicho cha Milioni 10.
Nikwambie Kitu?! Usajili ulio mkubwa kwa Yanga msimu huu ni wa Senzo Mbatha, hata kama wakifanikiwa kumleta Messi wa Barcelona na kumvisha kijani na njano.
Hiyo tayari ni mada ndefu yenye mengi ndani yake, itoshe kumheshimu na kumpongeza mfumania nyavu huyo aliyefunzwa Azam akaja kufundisha Simba
Akiwa ameshacheza mechi kadhaa za timu ya Taifa la Italia kuanzia kwa vijana hadi wakubwa, lakini kwa klabu mambo yalikua bado apeche alolo kwa mzaliwa huyo wa Torre Annunziata pale Italy
Aliyewahi kuwa kocha mkuu wa klabu ya Yanga,….Stori zaidi.
Kwenye stori zangu na yeye aliwahi kuniambia kua hakuna timu anaweza kwenda na kushindwa kucheza!
Mshambuliaji wa Yanga leo amekamatwa na jeshi la….Stori zaidi.
Baada ya maneno machafu ambayo yalionekana kuwaudhi wapenzi….Stori zaidi.