Goli linafutwa, Kadi haifutwi.
Kuna swali limekuwa likiulizwa sana kwangu iwe DM au kwa njia yeyote ile Kuhusiana na mazingira Ya mchezaji kushangilia goli kwa kuvua jezi wakati alikuwa na kadi ya njano
Kuna swali limekuwa likiulizwa sana kwangu iwe DM au kwa njia yeyote ile Kuhusiana na mazingira Ya mchezaji kushangilia goli kwa kuvua jezi wakati alikuwa na kadi ya njano
Yanga mwenyeji wa mchezo kwa kuwa anamiliki ubingwa wa mashindano Mama ya nchi yaani ligi kuu ( top tier league).
Nikirejea aina ya goli la “Acrobatic” nilishawahi kulizungumza kwenye aina ya tuzo za Puskas sina mashaka hata kidogo.
Simuoni kwenye benchi kwa hali yeyote ile kutokana na uwezo wake wa kiuchezaji silaha yake kubwa ikiwa kasi na maamuzi sahihi kwa wakati sahihi.
Lakini si kwa bwana mdogo huyu ambaye aliumia mara moja (hana historia ya kuwa majeruhi) zaidi ya hiyo mara moja iliyotaka kutishia soka lake japo klabu ilimvumilia
Ukitazama video zake kama ambavyo zimesambaa mitandaoni utaakisi hili ninachokisema na kusadiki ni aina gani ya mchezaji ambae Simba imemsajili.
Na Simba wakapata fedha nyingi kwa mauzo yake endapo atashine na kuhitajika kwenye timu nyingine
Eneo jingine lenye ukakasi kwangu ni tuzo ya mchezaji wa Championship (zamani ligi daraja la kwanza) na ile ya first ligi (zamani daraja la pili).
Kama ningeulizwa ya Mtibwa Sugar FC ilipaswa kuwa….Stori zaidi.
Sopu alivunjavunja ile ‘partnership ‘ ya Job na Mwamnyeto ya ndani ya klabu na timu ya Taifa, maana huwa wanacheza hivyo hivyo