Kwanini Morrison
Mimi na wewe huenda tunasikia tetesi kuwa Benard Morrison amemwaga wino ndani ya Simba lakini tusiwe na ukweli, lakini hiki ndicho tunaweza kukwambia.
Mimi na wewe huenda tunasikia tetesi kuwa Benard Morrison amemwaga wino ndani ya Simba lakini tusiwe na ukweli, lakini hiki ndicho tunaweza kukwambia.
Nimekusogezea uchambuzi wa mechi zote za leo, bofya mechi kusoma uchambuzi wa mechi kabla hujawasha Tv, radio au kwenda uwanjani. Tupe maoni yako pia.
anaweza kucheza kama “Inverted Full back” Kwa maana timu inaposhambulia, Kessy hupanda na kuungana na kiungo wa ulinzi.
Zahera ameshaondolewa kuifundisha klabu hiyo yenye makazi yake jangwani.
Twende sawa, niambie maoni yako ni yepi, Je unakubaliana na mimi kuwa Kagere na Mzamiru ndio wachezaji wakutumainiwa zaidi ndani ya Msimbazi?
Kufika nusu fainali, na kuchuana na vilabu vikubwa kama TP Mazembe, Al ahly na Wydad Casablanca ndiyo yalikuwa malengo ya klabu. Klabu ilitenga bajeti kubwa ili kuhakikisha Simba inachukua
Kwa mara ya kwanza nilimuona Ibrahim kwenye uwanja wa Uhuru, zamani ukiitwa Taifa katika fainali ya Copa CocaCola kati ya Mjini Magharibi na Tabora.
Klabu kubwa za Simba na Yanga hupoteza fedha nyingi kutokana na kukosa miundombinu ya msingi wanayoimiliki wenyewe katika soka.
Genk imetupwa katika kundi E ambalo lina vigogo kama Liverpool, Napoli na RB Salzburg. Kundi hili lilicheza michezo yake siku ya Jana Jumanne, Napoli wakiibuka na Ushindi wa goli 2-0 dhidi ya Liverpool nyumbani, kisha RB Salzburg ikaichapa Genk.
Azam wanatarajiwa kuwavaa Triangle Septemba 28. Katika mchezo huu Azam inatafuta ushindi wa aina yoyote ile, kwa maana kama watapata ushindi mwembamba wa goli 1-0