Moro Lamine wa juzi, jana na leo
Kama Simba wasingekuwa na miluzi mingi kwake inawezekana ndio angekuwa muarobaini wao katika ulinzi hivi sasa. Tena wangempata kiunafuu.
Kama Simba wasingekuwa na miluzi mingi kwake inawezekana ndio angekuwa muarobaini wao katika ulinzi hivi sasa. Tena wangempata kiunafuu.
Wanaweza wakawa wanacheza namba moja, lakini wanatofautiana katika namna ya uchezaji wao hasa wakati wa mashambulizi.
Tujiulize kitu. Dismas hawezi kuwaita mashabiki kuja kiwanjani, mtu gani wa Yanga au nje ya Yanga anayeweza kuwaita mashabiki? Mshindo Msolla? Frederick Mwakalebela? Mzee Akilimali? Jimmy Kindoki? Mbwiga Mbwiguke? Masau Bwire?
Mwisho wa yote namkaribishaa Chilunda nyumbani. Karibu kaka. Karibu sana. Sihitaji kukwambia kuhusu Dar es Salaam ilivyo. Najua unaijua sana.
Sitaki kutaka maji mengi ya watu. Jikumbushe kuhusu Said Bahanuzi. Nani anajua aliko? Binafsi sijui kama kaacha soka au anafanya kazi gani.
Leo hii tuliyoshinda majumbani kwetu bila ya kwenda makazini kuadhimisha Sikukuu ya Mei Mosi, tuiingie katika tovuti hii kuona taarifa mbalimbali za kimichezo na makala za kutosha.
Shaban Kisiga Malone. Mchezaji mmoja na nusu. Dead….Stori zaidi.
LEO wacha nimtafune jongoo mbichi, bila kujali ukakasi….Stori zaidi.
Aliwahi kujisemea mwendawazimu mmoja kuwa shetani akizeeka anageuka….Stori zaidi.
Ilianza kama tetesi. Ikaja kama uvumi. Hatimaye imekuja….Stori zaidi.