Juma Mgunda ni Pitso Mosimane wa Tanzania
Klabu ya Simba ilimtangaza Juma Mgunda kutoka Coaatal union kwa muda, Sady anachambua uamuzi huo.
Klabu ya Simba ilimtangaza Juma Mgunda kutoka Coaatal union kwa muda, Sady anachambua uamuzi huo.
Ligi Kuu imesimama sasa baada ya mzunguko wa pili kukamilika, tazama ripoti ya wachezaji katika maeneo manne muhimu.
Kariakoo Derby kwa mara nyingine tena inawakutanisha Yanga Sc dhidi ya watani wao Simba Sc.