Si Azam wala Yanga, Simba ndio timu iliyokamilika!
Tuzitazame timu hizi tatu ambazo zinaonekana ndizo timu kubwa hapa nchini yani Azam FC , Simba na Yanga.
Tuzitazame timu hizi tatu ambazo zinaonekana ndizo timu kubwa hapa nchini yani Azam FC , Simba na Yanga.
Unatoka kucheza na Azam FC mechi inayofuata ni dhidi ya Yanga. Swali kubwa ni namna ambavyo wao wangeweza kushinda mechi dhidi ya Azam FC huku wakiwa na presha ya homa ya mechi dhidi ya watani wao.
Kwa sasa inaonekana Meddie Kagere ndiye mwenye nafasi….Stori zaidi.
Sakata la Bernard Morrison na klabu ya Yanga….Stori zaidi.
Ligi kuu Tanzania bara imeendelea jana katika miji….Stori zaidi.
Klabu ya soka ya Yanga imekanusha taarifa zinazoenea….Stori zaidi.
Jana Yanga ilicheza na Namungo FC katika mechi….Stori zaidi.
Jezi ambayo imemfunika pia Sharaf Ali Shiboub , kiungo hodari na mahiri kutoka Sudan.
Picha hii inachorwa kwa wino wa matumaini , wino ambao umejaa tabasamu kubwa sana kwa wana Yanga , tabasamu ambalo lina matumaini ya kuwa kesho yao ni bora .
Hapa ndipo umuhimu wa Papy Kabamba Tshishimbi unapokuja, inawezekana Bernard Morrison ni mchezaji hatari lakini Papy Kabamba Tshishimbi ndiye mchezaji.