Niliikataa BARCELONA ili nije YANGA -Kaze
Kocha Cedric Kaze amedai aliacha kuongeza mkataba na Barcelona ili aje kufundisha nyumbani
Kocha Cedric Kaze amedai aliacha kuongeza mkataba na Barcelona ili aje kufundisha nyumbani
Usajili uliokuwa unasubiriwa kwa hamu wa Yacoub Sogne kuja Yanga inaonekana umebuma
Hii ni kazi yangu kwa hiyo kupata hii tuzo kunanifanya nifunge zaidi na zaidi kwa sababu hii ni kazi yangu na tunzo hii inanipa motisha”
GSM imemzidi Mo-Dewji kwenye dirisha hili la usajili
Taarifa mpya ni kuwa beki mkongwe Kelvin Yondani….Stori zaidi.
Aliyewahi kuwa mkurugenzi mtendaji wa klabu ya Simba….Stori zaidi.
“Tuliandaa bajeti ya msimu mzima , na mimi nikawa nafanya kulingana na bajeti iliyopo
“Sijutii uamuzi wangu . Nasonga mbele hata siku moja sijutii uamuzi wangu kwa sababu nilikaa chini na kutafakari kwa muda mrefu
Baada ya kuwepo na taarifa za hali ya….Stori zaidi.
Tajiri huyo amedai kuwa kwa sasa wameagiza vifaa ambavyo vitaweza kumwambia ni mchezaji yupi ambaye ni mzembe au ni mchezaji yupi ambaye anajituma.