Safari hii Yanga itampita mtani wake, Simba itapotezwa vibaya.
Kuna ukweli ambao mashabiki wa Simba hawatokuwa tayari kuusikia. Ukweli ambao utaonekana ni mchungu sana kama ukitokea kwenye macho yao ya nyama.
Kuna ukweli ambao mashabiki wa Simba hawatokuwa tayari kuusikia. Ukweli ambao utaonekana ni mchungu sana kama ukitokea kwenye macho yao ya nyama.
Ni matamasha ambayo yalishika hisia kubwa sana hapa nchini na nje ya nchi. Watu wengi waliyaongelea katika mlengo chanya nje na ndani ya nchi yetu.
Bado vilabu hivi vikongwe vipo nyuma katika kujiwekeza na kuwa vilabu imara kiuchumi na ndani ya uwanja. Tumekuangazia nini wanaweza kufanya.
Klabu ya Manchester United imezindua jezi zake za….Stori zaidi.
Yanga inazidi kujiimarisha kwa Kuweka kambi bora
Papy Kabamba Tshishimbi alishindwa kuongeza mkataba na Yanga kutokana na kutokukubaliana kila pande hivo akaamua kurudi kwao Congo.
Yanga wako mbioni kujenga uwanja wao
Pamoja na kuachana na Yanga , Mwinyi Zahera amedai kuwa mashabiki wa Yanga bado wanampenda
Baada ya habari nyingi kusambaa kuhusu Carlihno kuwa na mkataba wa miezi 6, Yanga wamekanusha habari hizo.
Ingekuwa wewe ndiye kocha wa Simba ungepangeje kikosi?