FIFA wanamtaka Barbara, Simba hawamtaki!
Kuna wanawake ambao hawawezi kucheza mpira lakini wanatengenezewa mazingira ya kuuongoza mpira, kuwa waamuzi kwenye mpira, kuwa madaktari,
Kuna wanawake ambao hawawezi kucheza mpira lakini wanatengenezewa mazingira ya kuuongoza mpira, kuwa waamuzi kwenye mpira, kuwa madaktari,
Hawachelewa kufika kwenye Prime. Wanatakiwa kuwa na UAMINIFU pamoja na UVUMILIVU ili wafike kwenye matamanio yao
Realmadrid ndiye timu pekee yenye mafanikio kwenye michuano hii ikiwa imechukua makombe 13 ikifuatiwa na AC Milan yenye makombe 7.
Mimi siyo mpenzi wa mpira wa miguu ila nilisikia Rafiki zake wakimwiita Ronaldinho Gaucho,
Hapana shaka hakuna ubishi kuwa Haruna Niyonzima anajua kuuchezea mpira. Lakini huu ujio wa huyu mwingine ni barah!
Lengo kubwa la Yanga msimu huu ni kubeba ubingwa.
Maamuzi hufanywa kwa ushirikiano wa mwenyekiti wa klabu , kamati tendaji na wadhamini
Hajacheza miezi mitano inahitaji apewe dakika chache
Yanga inaanza kupata ushindi leo
Bernard Morrison mpaka sasa inaonekana anadaiwa na Simba