Baada ya Yanga kuonekana ina kasi kubwa kwenye usajili kwa kuwaleta wachezaji mbalimbali kwenye kikosi chao ili kujiimarisha vyema kwenye kikosi chake hatimaye Arsenal naye amejibu mapigo.
Arsenal imemrudisha Mikel Arteta kwenye kikosi chake kama kocha mkuu wa timu hiyo. Mikel Arteta aliwahi kuwa mchezaji wa Arsenal , na kabla ya kuja Arsenal alikuwa kocha msaidizi wa Manchester City chini ya Pep Guerrilla.