
Kocha Popadic Dragan wa Singida United amesema uwanja na ugeni wa kuwafahamu wachezaji wake ndiyo kimechangi kupoteza mchezo wa leo dhidi ya Mbao kwa bao 1-0.
Bao la Mbao Fc limefungwa na kiungo wa zamani wa Njombe Mji Raphael Siame katika dakika ya 72
Mchezo huo umefanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.