Hizi ndizo sababu kuu 3 zisizo na ubishi wowote kuhusu Salimu Aiyee, anayechezea KMC FC msimu huu.
1 Ni mtanzania aliyefunga mabao mengi zaidi kwa mwaka huu (takwimu za Januari – Disemba 2019) Ligi Kuu Tanzania Bara.
2 Alimaliza msimu uliopita 2018/2019 kama kinara wa magoli kwa wachezaji wa ndani
3 Aliikoa Mwadui isishuke daraja baada ya kuifungia katika hatua ya mtoano, na kuinusuru timu hiyo isishuke daraja.