Tovuti ya kandanda inarekodi idadi ya magoli yaliyofungwa wakati wa mechi za ligi kuu, Tukiwa na lengo la kusheherekea pamoja na wachezaji wanaoongoza katika ufungwaji magoli kila mwezi, nusu msimu na msimu mzima. Ni matarajio yetu msimu ujao tutaweza kutunza kumbukumbu zote muhimu kuhusu Ligi Kuu.
Wafungaji bora wa Msimu huu kwa Mwezi
Mwezi | Jina | Magoli |
April 2019 | John Bocco | 3 |
March 2019 | John Bocco | 3 |
Februari 2019 | Meddie Kagere | 5 |
Januari 2019 | Salimu Aiyee | 5 |
Disemba 2018 | Heritier Makambo | 4 |
Novemba 2018 | Heritier Makambo | 3 |
Oktoba 2018 | Emmanuel Okwi | 7 |
Septemba 2018 | Ambokile Eliud | 4 |
Agosti 2018 | Meddie Kagere | 3 |