Baada ya tetesi nyingi za mshambuliaji wa Yanga kusajiliwa Horoya FC na yeye mwenyewe kudhibitisha kuwa hatokuwepo msimu ujao.
Klabu hiyo ya Guinea imemsajili kiungo wa Azam FC raia wa Zimbabwe Tafadzwa Raphael Kutinyu kwa mkataba wa miaka miwili.
Kiungo huyo alikuwa akiitumikia awali timu ya Azam FC. Mpaka sasa haijajulikana makubaliano yoyote yaliyofikiwa ila tutaendelea kukuletea habari kamili kutoka upande wa viongozi wa Azam FC ambao mpaka sasa hivi simu zao hazipatikani