Sambaza....

Mfungaji bora wa muda wote wa Ligi Kuu Bara! John Raphael Bocco anashikilia rekodi ya kuwa mfungaji bora wa muda wote wa Ligi kuu ya nchini Tanzania, mpaka sasa Bocco “Adebayor” ana magoli 136 ambayo amefunga katika misimu 14 huku bado akiwa anaendelea kucheza.


Sambaza....