#KandandaChat

  • Najiamkia asubuhi nikiwa bukheri wa afya, huku nikiwa nimepata mapumziko mazuri ya weekend, sanjari na kupata fursa ya kuwajulia hali ndugu zangu wa kariakoo na kuhudhuria mikutano ya kidini na Maulid jumapili hii kule Msaasani kwa swahiba wangu Zingizi, anaandika Haji Manara, msemaji wa klabu ya Simba SC.

    Jack

MAKALA

  • BADO niko Morogoro katika hoteli ya Nasheira chumba namba 201 ghorofani kabisa nikiangaza macho yangu huku na kule kuutathimini mji huu nikiwa juu. Kwa chini nawaona Waluguru wakikatisha pembezoni mwa hoteli kwa shughuli zao binafsi nami naamua kushuka chini na kwenda geti kuu la hotelini hapa kupiga stori mbili tatu na mlinzi.

    Abdul Mkeyenge

uhamisho

WASWAHILI husema lisemwalo lipo na kama halipo basi liko njiani linakuja...!! Ishu iko hivi kocha wa Arsenal Mfaransa, Arsene Wenger anapanga kuushangaza umma wa wapenda kandanda Ulimwenguni kwa kumsajili kwa mara nyingine kiungo wake wa zamani,Mhispania Cesc Fabregas,ambaye kwa sasa anaozea benchi pale Chelsea.

Kocha mpya wa klabu ya soka ya Yanga George lwandamina amemtaka mshambuliaji wa mabingwa hao watetezi wa ligi kuu Tanzania bara Malimi busungu kusalia klabuni hapo na kuahidi kumpa nafasi ya kuonesha uwezo wake

DUKA LA VIFAA VYA KANDANDA

Vifaa Bora Kwa Bei Nafuu

nunua sasa